NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA HABARI AKUTANZA NA WASANII WA ALBINO CULTURE TROUP

Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa, kulia kwa naibu waziri ni Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).

Mkurugenzi wa kikundi cha Albino Revolution Troup kutoka Wilaya ya Temeke Bw. Titto Mtanga wa kwanza kushoto akiongea na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakati kikundi hicho kilipomtembelea Mh. Wambura ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).

Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia akipokea moja ya kazi ya Kikundi cha Albino Revolution Culture Troup kutoka kwa Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw.  Titto Mtanga wakati walipomtembelea Mh. Wambura ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa.(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM). 

No comments