RUBY NA SKENDO YA KUJALADIA MAKALIO


Na Mayasa Mariwata
MWANADADA anayesumbua kwenye gemu, Hellen George ‘Ruby’ amesema wale wanaodhani kila akipanda jukwaani kile ‘kijungu’ kinachoonekana ni cha kujaladia, wamebugi.

Ruby alisema, yeye alivyo anajikubali na wala hawezi kusumbuka kutafuta makalio feki kwani kufanya hivyo ni kupoteza muda wake bure.
“Hao wanaosema najaladia makalio wamekosa la kuongea, mimi siyo mtu wa mambo hayo, najikubali sana kwa jinsi nilivyoumbwa, naanzaje sasa kujiongezea shepu hewa,” alisema Ruby.

No comments